TAFUTA YALIYOMO

Thursday, June 21, 2012

TEMBELEA BANDA LA KANUMBA SABASABA

Familia ya marehemu Steven Kanumba imeandaa a kind extra flavour for you this coming SABASABA  kwa kuandaa banda maalum kwa ajili ya kuonesha maisha pamoja na kazi alizowahi kuzifanya marehemu steven kanumba.

Uamuzi huo umekuja ili kutoa wasaa for all kanumba fans na wengine pia kupata kumfahamu vyema kanumba kuliko kumjua kupitia magazeti ya udaku ambayo mengi yanakuwa yamejaa fix

Miongoni mwa vitakavyopatikana katika banda hilo ni historia ya kanumba tangu akiwa mdogo, picha zake za utotoni pamoja na kazi zake za sanaa

WALICHOKIFANYA AY NA FA NDANI YA BIG BROTHER


Thursday, May 31, 2012

TWITS KALI LEO





BAADA YA MLIPUKO NAIROBI, MARYA ANAENDELEA VIZURI

MARYA
Talented singer Marya kutoka kenya ambaye alikubwa na mshike mshike wa katika mlipuko uliotokea hivi karibuni Nairobi amebainisha kuwa sasa anaendelea vizuri baada ya kuwa disturbed na mlipuko ule uloharibu gari lake pamoja na kumjeruhi vibaya rafiki yake.Bi shosti huyo who was doing some shoping Ameeleza kuwa anawatakia wote waliojeruhiwa afya njema na kuwaomba wengine wote waungane naye katika goo wishes hizo
ENEO LILILOLIPUKA NAIROBI


Tuesday, May 29, 2012

VILLAS BOAS KUCHUKUA MIKOBA YA UKOCHA TOTTENHAM HOTSPURS

ANDRE VILLAS BOAS
Kocha aliyetimuliwa Chelsea kabla ya kumalizika kwa msimu uliopita wa ligi VILLAS BOAS anatarajiwa kuchukua mikoba ya ukocha ya timu ya TOTTENHAM HOTPURS baada ya aliyekuwa kocha wa timu hiyo Harry Redknapp kuwa na mifarakao na viongozi wa juu wa timu hiyo. Jose Mourinho inasemekana ni mmoja wa wadau wa soka ambao wanataka kufanikisha kukabidhiwa kwa timu hiyo VILLAS BOAS kwa kumshauri Spurs’ Chairman Daniel Levy

Friday, May 25, 2012

DIAMOND KUPIGA SHOW BIG BROTHER KWENYE PARTY YA KUWAAGA WASHIRIKI

DIAMOND
Msanii anayekimbiza katika Industry ya muziki wa kizazi kipya a.k.a bongofleva NASEEB au DIAMOND PLATNUMZ anatarakiwa kufanya show nchini afrika ya kusini Jumapili ijayo katika party ya kuwaaga washiriki waliokosa kura za kuendelea kuwepo ndani ya jumba la BBA STARGAME. Diamond anafuata nyayo za msanii mwingine kutoka tanzania aliyepata nafasi kama hiyo mwak jana, CPWAA. Taarifa kutoka kwa watu wa karibu zineleza kuwa kwa sasa Diamond anajifua vilivyo ili kuweza kuifanya vizuri show hiyo
DIAMOND KATIKA SHOW YAKE ILIYOFANYIKA DAR LIVE HIVI KARIBUNI
MSANII KUTOKA MAREKANI J COLE AKITUMBUIZA KATIKA UFUNGUZI WA BBA STARGAME, HAPA NDIPO ATAKAPOTUMBUIZA DIAMOND
 

Thursday, May 24, 2012

AY AND MODELS ON SET KU-SHOOT HIS NEW VIDEO IN SOUTH AFRICA


DROGBA ATOA PAUNDI MIL.3 KUJENGA HOSPITALI YA BURE ABIDJAN

Mwanasoka wa kimataifa Didier Drogba ameingiza kiasi cha paundi millioni tatu kutokana na matangazo ya PEPSI na kuamua kutumia pesa yote kujenga HOSIPITALI YA BURE katika mji wa ABIDJAN nchini mwake Ivory Caost
                   
                            DROGBA KATIKA MOJA YA MATANGAZO YA PEPSI
ABIDJAN