MARY LUCAS
Aliyekuwa mshiriki wa BSS kwa season 2 sasa anakwenda kujaribu her lucky kwenye mashindano ya TUSKER PROJECT FAME. The step imekuja baada ya kupita katika usaili uliofanywa hivi karibuni Dar es Salaam na kumfanya aungane na washiriki wengine wawili on their way to NAIROBI kutetea taji ambalo linashikiliwa na PETER MSECHU as one of the last year winners
PETER MSECHU
No comments:
Post a Comment