TAFUTA YALIYOMO

Wednesday, May 16, 2012

KANYE WEST NDANI YA KEEPING UP WITH THE KARDASHIAN


Mpenzi mpya wa KIM KARDASHIAN, Hip hop superstar KANYE WEST anatarajia kuonekana katika reality show maarufu ya familia ya mpenzi wake iitwayo  KEEPING UP WITH THE KARDASHIAN. The girlfriend alireveal hilo huku akisema kuwa hawtaonesha intimacy yao kwenye TV like bathing together in a tab BUT KANYE WEST WILL BE PART OF IT





No comments:

Post a Comment