TAFUTA YALIYOMO

Thursday, May 24, 2012

BAADA YA MATUSI LUKUKI DIVA AOMBA MSAMAHA

DIVA LOVENESS LOVE
Mdada anayetangaza show ya Ala za roho kupitia CLOUDS FM amerudi nyuma na kuomba msamaha kwa wale wote waliokwazika na kauli yake aliyoisema juu ya wanaume wa kitanzania. Bi shosti huyo who has already come accross matatizo kibao kutokana na kauli zake amefunguka kupitia Akaunti yake ya FB Iitwayo THE ONE DIVA LOVENESS LOVE kuwa "Kuna watu inawezekana nimewakwaza in anyway kwa nilichoongea ,haikuwa hivyo kama inavyochukuliwa,so kama umekwazika am sorry." In short mdada huyo mwenye sauti flani hivi ya kuvutia aliwakera watu kwa kutoa kauli kuwa WANAUME WA TANZANIA USIPOMKUTA ANANUKA MDOMO BASI UTAMKUTA ANAKUKA SOKSI AU HAJAFUA BOXER YAKE. Kilichofuata baada ya kauli hiyo kilikuwa ni BURUNGUTU LA MATUSI kutoka kwa wadau mbalimbali bila kujali ni kwa nini DIVA alitoa kaui hiyo.

1 comment:

  1. BAHATI YAKE MBWIGA HUYO AMEOMBA MSAMAHA, ILA BADO HAITOSHI YOU CAN NOT WAKE UP AND START SAYING YOUR NASTY WORDS, TENA UNAWAJUMUISHA WATU WOTE KAMA BWANZA ZAKO WOTE NDO WAKO HIVYO USIDHANI NA WENGINE WOTE WAKO HIVYO. ONA KWA UPUMBAFU WAKO WAZAZI WAKO WAMETUKANWA BILA MAKOSA. SIJUI HUPIGI MSWAKI ASUBUHI NDO MAANA UNAROPOKA HOVYO BILA MSINGI............

    ReplyDelete