TAFUTA YALIYOMO

Thursday, June 21, 2012

TEMBELEA BANDA LA KANUMBA SABASABA

Familia ya marehemu Steven Kanumba imeandaa a kind extra flavour for you this coming SABASABA  kwa kuandaa banda maalum kwa ajili ya kuonesha maisha pamoja na kazi alizowahi kuzifanya marehemu steven kanumba.

Uamuzi huo umekuja ili kutoa wasaa for all kanumba fans na wengine pia kupata kumfahamu vyema kanumba kuliko kumjua kupitia magazeti ya udaku ambayo mengi yanakuwa yamejaa fix

Miongoni mwa vitakavyopatikana katika banda hilo ni historia ya kanumba tangu akiwa mdogo, picha zake za utotoni pamoja na kazi zake za sanaa

No comments:

Post a Comment