TAFUTA YALIYOMO

Thursday, May 24, 2012

RAPPER KEKO KUJA NA MUWALA

KEKO
Rapper anayetikisa East Africa at the moment, KEKO kutoka Uganda ameweka bayana kuwa amemaliza kuandaa her new song MUWALA na sasa mashabiki wote all over East africa na elsewhere wanatakiwa wawe tayari kupokea wimbo huo kutoka kwa the best female rapper alive, East Africa.
KEKO ambaye jina lake kamili ni Keko Jocelyn Travis ameshatamba na nyimbo nyingi ikiwemo Alwoo na How we do it aliyoshirikiana na Radio and Wisel

No comments:

Post a Comment