ARTWORK YA ZUMA INAYOONYESHA SEHEMU ZAKE ZA SIRI YAMKERA RAIS ZUMA
MCHORO HUU NDIO UNAOONYESHA SEHEMU ZA SIRI ZA RAIS JACOB ZUMA (eneo lililozungushiwa dura jekundu)
JACOB ZUMA
Rais wa Afrika ya kusini ni miongon mwa marais maarufu sana ulimwenguni na maisha yake binafsi yanafuatiliwa na watu kibao. Issue which is on the table now about ZUMA ni kuhusu art gallery moja nchini afrika ya kusini kuweka painting yake ikiwa inaonyesha sehemu zake za siri waziwazi. The whole issue imemkera Zuma na kuiomba mahakama kuamuru wenye art gallery hiyokuitoa picha hiyo kwenye gallery yao huku wafuasi wengi wa ANC wakimuunga mkono.
No comments:
Post a Comment