Mwanasoka wa kimataifa Didier Drogba ameingiza kiasi cha paundi millioni tatu kutokana na matangazo ya PEPSI na kuamua kutumia pesa yote kujenga HOSIPITALI YA BURE katika mji wa ABIDJAN nchini mwake Ivory Caost
 |
DROGBA KATIKA MOJA YA MATANGAZO YA PEPSI |
 |
ABIDJAN |
No comments:
Post a Comment