TAFUTA YALIYOMO

Tuesday, May 15, 2012

JAY Z AMUUNGA MKONO OBAMA KUHUSU NDOA ZA MASHOGA


Rapper JIGGA amemuunga mkono prez OBAMA kwenye the whole issue ya ndoa ya jinsia moja aka GAY MARRIAGE huku akichana laivu kuwa kuwa-discriminate gays ni sawa na ubaguzi uliokuwa ukifanywa dhidi ya watu weusi

"I think it's the right thing to do," he added. "It's not about votes; it's about people. Whether it costs him votes or not, I think it's the right thing to do as a human being."

WATCH THE VIDEO HAPO CHINI



No comments:

Post a Comment