TAFUTA YALIYOMO

Friday, May 25, 2012

DIAMOND KUPIGA SHOW BIG BROTHER KWENYE PARTY YA KUWAAGA WASHIRIKI

DIAMOND
Msanii anayekimbiza katika Industry ya muziki wa kizazi kipya a.k.a bongofleva NASEEB au DIAMOND PLATNUMZ anatarakiwa kufanya show nchini afrika ya kusini Jumapili ijayo katika party ya kuwaaga washiriki waliokosa kura za kuendelea kuwepo ndani ya jumba la BBA STARGAME. Diamond anafuata nyayo za msanii mwingine kutoka tanzania aliyepata nafasi kama hiyo mwak jana, CPWAA. Taarifa kutoka kwa watu wa karibu zineleza kuwa kwa sasa Diamond anajifua vilivyo ili kuweza kuifanya vizuri show hiyo
DIAMOND KATIKA SHOW YAKE ILIYOFANYIKA DAR LIVE HIVI KARIBUNI
MSANII KUTOKA MAREKANI J COLE AKITUMBUIZA KATIKA UFUNGUZI WA BBA STARGAME, HAPA NDIPO ATAKAPOTUMBUIZA DIAMOND
 

No comments:

Post a Comment