 |
ANDRE VILLAS BOAS |
Kocha aliyetimuliwa Chelsea kabla ya kumalizika kwa msimu uliopita wa ligi VILLAS BOAS anatarajiwa kuchukua mikoba ya ukocha ya timu ya TOTTENHAM HOTPURS baada ya aliyekuwa kocha wa timu hiyo
Harry Redknapp kuwa na mifarakao na viongozi wa juu wa timu hiyo. Jose Mourinho inasemekana ni mmoja wa wadau wa soka ambao wanataka kufanikisha kukabidhiwa kwa timu hiyo VILLAS BOAS kwa kumshauri Spurs’ Chairman Daniel Levy
No comments:
Post a Comment