TAFUTA YALIYOMO

Thursday, May 10, 2012

HOWARD WEBB KUWACHEZESHA MAN U MECHI YA MWISHO YA LIGI


Mechi hiyo inawahitaji MAN U washinde more than 10 goals endapo na MAN CITY nao watashinda ili kufanikisha ndoto za kulikwapua kombe hilo la Premier Ligi kwa mara ya 20 right from the hands ya watani wao MAN CITY kitu ambacho wengi wanaamini ni UNBELIEVABLE

WEBB amekuwa akilalamikiwa na wadau wa soka that waziwazi anawapendelea MAN U katika mechi anazowachezesha japo hajawahi kutuhumiwa officially.

WATAKAOCHEZESHA MECHI YA


Manchester United vs Sunderland
Referee: H Webb
Assistants: P Kirkup, M Mullarkey
Fourth Official: M Halsey
Match Delegate: M Blackbourne
PGMO: D Laws

WATAKAOCHEZESHA MECHI YA
Manchester City v Queens Park Rangers
Referee: M Dean
Assistants: S Burt, A Garratt
Fourth Official: N Swarbrick
Match Delegate: S Barker
PGMO: J Worrall







No comments:

Post a Comment