TAFUTA YALIYOMO

Wednesday, May 9, 2012

NICOLE NJE BRITNEY NDANI


Queen wa Pop Britney Spears (31) amepata shavu la kuwa one of judges katika mega TV reality show THE X FACTOR hivyo kujumuika na majaji wengine LA REID na SAIMON kureveal vipaji vya kuimba miongoni mwa talented people kibao toka marekani na nje ya marekani.

LA REID & SAIMON

Dili hilo amelipata huku judges wengine wa awali Paula Abdul na Nicole wakiwa knocked out katika panel ya judges kwa ajili ya msimu mpya wa X FACTOR

NICOLE AND PAULA ABDUL

Kupitia dili hilo Britney atatengeneza mkwanja wa up to 16 million dollars na ushee

No comments:

Post a Comment