TAFUTA YALIYOMO

Friday, May 11, 2012

RIHANNA AMEMU-UNFOLLOW CHRIS BROWN BAADA YA KUWA DISSED


Rihanna amemu-unfollow aliyekuwa mpenzi wake Chris Brown due to the fact kwamba Chris Brown amerelease track inayomdiss Rihanna moja kwa moja ambayo ni remix ya wimbo wa Kanye west THERAFLU kupitia mashairi yafuatayo

"Don't f*ck with my old bitches ... like a bad fur ... every industry n*gga done had her."
"Trick or treat like a pumpkin ... just to smash her." 

Baada ya issue hiyo muda kidogo Chris Brown naye akamu-unfollow Rihanna na ku-cut down kabisa mawasiliano yao kupitia Twitter.
Hata hivyo Chris Brown alitweet kuwa hajamtaja mtu jina katika free style yake na all that ni assumptions tu




No comments:

Post a Comment