
Bifu lilianza baada ya Prezzo kumuita Barbz 'Tyra Banks' katika hali ambayo Barbz hakufurahia na kusema kuwa hajali heshima na kujulikana kwa Prezzo
Prezzo anahisi kuwa Barbz anajiona yuko juu ya Gals wote walio katika jumba la UPVILLE
na kama anategemea neno SORRY na I LOVE YOU asahau coz ni maneno ambayo yanatoka kwa nadra sana kinywani mwake. Labda kama anataka Dough aongee nae Vizuri
BARBZ NI MSHIRIKI KUTOKA SOUTH AFRICA NA PREZZO NI MSHIRIKI KUTOKA KENYA,
GONGA HAPO CHINI KUCHECK VIDEO YA PREZZO AKISISIIZIWA KUOMBA MSAMAHA NA GOLDIE
PREZZO NA GOLDIE NDANI YA BBA
No comments:
Post a Comment