ESPERANCA
Mshiriki huyo amejitoa kutokana na alichokiita 'personal issues' lakini BIG BROTHER amempa masaa 24 ya kufkiria upya wazo lake.
SEYDOU
BIG BROTHER amemuonya Esperanca kuwa mchezo huu ni wa pair kitu ambcho kitapelekea kutolewa kwa mshiriki mwenzake SEYDOU

HILDA JULIO
JE HAPA NDIPO WALIPOPONEA WASHIRIKI WA TANZANIA (HILDA NA JULIO) AMBAO WAKO KWENYE DANGER ZONE?
ENDELEA KUTEMBELEA BLOG HII KWA MORE UPDATES
No comments:
Post a Comment