TAFUTA YALIYOMO

Saturday, May 19, 2012

WASHIRIKI WA NIGERIA WAJITOA BBA

The saga imetokea as mshiriki wa OLA kutoka Nigeria kudai kuwa dawa za PRESHA alizotumia hazimsaidii na hivyo na hivyo hana budi kutoka na kwenda kuendelea na matibabu nje ya jumba hilo.
OLA ANAYESUMBULIWA NA PRESHA

BBA Stargame ni mchezo wa pair hivyo ikbidi na mshiriki mwingine wa Nigeria kuondoka as far as walikuja kwa pair.
CHRISTIAN-MSHIRIKI MWENZA WA OLA

No comments:

Post a Comment