TAFUTA YALIYOMO

Thursday, May 17, 2012

R.I.P PATRICK MAFISANGO

ALIYEKUWA MCHEZAJI WA SIMBA PATRICK MAFISANGO AFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA GARI 

Patrick Mafisango wa timu ya Simba  amefariki dunia leo kwa ajali ya gari katika eneo la Tazara jijini Dar es Salaam. Taarifa ambazo zimetolewa kutoka Klabu ya Simba zimesema Mafisango amefariki dunia leo asubuhi kwa ajali ya gari maeneo ya Tazara. 

FOR MORE INFO STAY  TUNED NA 360 FAME BLOG

No comments:

Post a Comment