TAFUTA YALIYOMO

Wednesday, May 23, 2012

MOURINHO AONGEZA MIAKA MINNE MADRID

JOSE MOURINHO amekata mzizi wa fitna na minong'ono that ataiacha REAL MADRID solemba baada ya kuongeza mkataba wa miaka minne utakaoisha mwaka 2016. So kwa mliodhani kuwa ataondoka mjue kuwa bado yupo yupo sana


No comments:

Post a Comment