TAFUTA YALIYOMO

Saturday, May 5, 2012

MCHEZAJI WA ZAMANI WA KIMATAIFA WA NIGERIA RASHID YEKINI AFARIKI DUNIA

Yekini alifariki siku ya ijumaa baada ya kusumbuliwa na ungonjwa wa akili kwa mud mrefu. Amehitimisha safari ya maisha yake akiwa na umri wa miaka 48
Alivunja rekodi kwa kuwa mchezaji wa KWANZA kuifungia Nigeria goli katika fainali za kombe la dunia 1994, Huko Marekani


No comments:

Post a Comment