TAFUTA YALIYOMO

Thursday, May 17, 2012

BONDIA MAYWEATHER NAYE AUUNGA MKONO USHOGA



Mwanamasumbwa maarufu FLOYD MONEY MAYWEATHER ameungana na Jay Z kumuunga mkono rais wa Marekani BARACK OBAMA kukubaliana na ndoa za jinsia moja huku akimpondea mpinzani wake mkubwa katika ndondi PACQUIAO ambaye anapingana na suala hilo
MAYWEATHER NA PACQUIAO


MAYWEATHER ALISEMA "I stand behind President Obama & support gay marriage."
"I'm an American citizen & I believe people should live their life the way they want."

No comments:

Post a Comment