rapper kutoka tanzania AY ameshatua kwa madiba South Africa tayari kwa ajili ya ajili ya kushoot video yake mpya. Kampuni itakayohusika na mzigo huo ni Godfather productions ambayo imeshfanya kazi za big artists wakiwemo Nigeria’s P Square and Mr Flavour. AY ameongozana na producer Marco Chali wa Mj Records katika safari hiyo.
No comments:
Post a Comment