TAFUTA YALIYOMO

Monday, May 7, 2012

ALICIA KEYS ATUNISHIANA MISULI NA MUMEWE(SWIZZ BEATZ)

Ni katika mnada wa kuchangia shule ya sanaa huko Bronxx ambapo Alicia na Mume wake walipandiana dau kwa mashindako kutaka kunuua guitar lilitiwa sahihi na ROLLING STONES
Mwisho wa siku Alicia Keys aliibuka kidedea na kuondoka na Guitar hilo


No comments:

Post a Comment