LUKE
YADEL
Washiriki Yadel and Luke kutoka LIBERIA wamekuwa washiriki wa pili kuondoka katika Jumba la BBA kwa mujibu wa Taratibu huku wakiwa pair ya tatu kuondoka baada ya kujitoa kwa washiriki wa NIGERIA katika mashindano hayo. STAY TUNED
Mshiriki mwingine aliyetoka pamoja na pair hiyo ni Dalphin wa Sierra Leone
DALPHIN
No comments:
Post a Comment