WATANZANIA WAAGA BBA STARGAME
Washiriki wawili waliokuwa wakiiwakilisha Tanzania kwenye Big Brother Africa nchini Africa Kusini Julio na Imelda wametolewa usiku huu. Mshiriki mwingine pia kutoka Zimbambwe ametolewa kwenye Jumba hilo la DOWNVILLE na kuhamishiwa UPVILLE wanapoishi mastaa
No comments:
Post a Comment